Mlemavu mwenye kimo kidogo, Jivunie Mbunda, watinga bungeni na katika kipindi cha maswali na majibu liliibuka hoja la kuwachangia wapenda nao hao kiasi cha shiling 20000 kutoka katika posho ya wabunge wote ili iweze kuwasaidia katika safari yao ya maisha mdau wangu nini maoni yako toa comment hapo chini na usisahau kusubscribe like comment pia share na wengine waweze kuzifikia habari hizi kiurahisi mtu wangu

Comments

comments

Rating