DIAMOND PLATNUMZ: SIOGOPI Kwenda Jela Labda UNIUWE

EXCLUSIVE INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA TIMES FM BAADA YA KUTOKA TU KENYA, KAONGEA MENGI SANA KUHUSU BEEF NA MEDIA, ZARI, ALBUM YAKE, WEMA, ALIKIBA, KUFUNGIWA NYIMBO NK.
¬†Diamond¬† aliyeeleza kwa sababu gani alienda kuzindua album yake “A BOY FROM TANDALE” nairobi kenya kwa mara ya kwanza
Msanii Diamond alieleza kuwa performance yake ilikuwa inachangamoto nyingi na kwa nchi yetu hatujaweza kuwezeshwa kuwa na vitu vya kuwasaidia katika sanaa. Pia alisema sababu ya kufanyia performance huko nje ni kuonesha jinsi gani bongo fleva imekuwa.

DIAMOND ametangaza NDOA Mwaka Huu. 

Bofya PLAY kutazama

Diamond pia aeleza jinsi gani amekwazika kuwa nyimbo yake “AFRICAN BEAUTY” ilivyo fungiwa ghafla na bado analipia codi nyimbo zake. Na haja pewa sababu kwa nini nyimbo yake imefungiwa kwenye mtandao.

Bofya play kutazama zaidi

 

Post Tagged with ,