Kila mmoja wetu ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu

0
0

Yeyote yule unayemuona hata angekuwa na mapungufu kiasi gani, basi huyo unayemuona ni zawadi yake Mungu kwako. Ni maneno ya hekima sana kutoka kwa Mh. raisi wetu mstaafu mzee Mkapa.

Rating