Tay Grin f/ Vanessa Mdee – Tola

0
0

Rapper kutoka nchini Malawi, Tay Grin ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Tola’ aliomshirikisha Vanessa Mdee. Video hiyo imeongozwa na Sesan.

Rating