Kaddy Gel ni Mwanamziki na tena Producer kutoka Burundi ila makazi yake ni Uko Belgium.

Amesha Fanya nyimbo kibao ila kwa sasa anakuja na zingine nyimbo zenye kiwango ca Juu akianzia kwa hii Gas Bem.

Video imetengenezwa na BP Production Belgium, ila Audio ilatengenezwa na ye mwenyewe.

Rating