SIFA ZA MJASIRIAMALI MZURI PART 1

 

Huu ni mfululizo wa wa vipindi vya kijasiriamali vya Prof: Ngowi vinavyolenga kutoa elimu ya masala ya kijasiriamali kwa watanzania wote ili kuwawezesha upata maarifa na hatimaye maarifa nayo yawe msaada kwao binafsi na Taifa kwa ujumla. Jina la kipindi ambalo pia ndilo jina la somo ni SIFA ZA MJASIRIAMALI BORA/MZURI. Kipindi hiki imegawanywa katika sehemu kuu tatu ili kukuwewezesha wewe mtazamaji kukipata na kujifunza kwa urahisi. ukifuatilia vipindi hivi kwa ufasaha, hakika hautabaki jinsi ulivyo

Rating
  • Tags