#PigaChata ni Wimbo mpya Ukiwataka vijana wajitokeze kupiga kura

0
0

#PigaChata ni Wimbo maalum kwa vijana wa Tanzania; tushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kura yetu ndio sauti na nguvu yetu. #PigaChata

 Song dedicated to young eligible voters in Tanzania: The 2015 general election is here! – No Vote, No Voice! October 25, let’s turnout for a brighter future of our country.

 

Artists: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, and Shaa

RevoNation / 41 Records 

Produced by Dunga & Lamar

Video Directed by Hanscana 

Rating